Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics

Song Details: Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics. The name of the song is Uinuliwe Yesu which is sung by Pastor Epa 

Uinuliwe Yesu Wewe Mwema Lyrics

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Eeh Bwana katika miungu yote
Ni nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye Kuogopwa katika sifa

Uliyevuma kwa upepo wako
Bahari ikafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Wowowowo!
Wowo!
Wowo!
Wowo!

Music Video